Malaika


(Intro)

Uuwo uweeee uwoo mama
Sema malaika heya nakupenda wee

(Chorus)

Malaika nakupenda malaika
Malaika nakupenda malaika

(Verse 1)

Nami nifanyeje
Kijana mwenzio x 2
Furaha moyoni napo kutia machoni
Si utani angel kwako niko hoi x 2
Nashindwa na mali mi sina wee
Ningekuoa malaika x 2

(Chorus)

Malaika nakupenda malaika
Malaika nakupenda malaika x 2

(Verse 2)

Kidege kukuwaza wee kidege
Ohoo kidege kukuwaza wee kidege
Usiku silali mawazo mengi darlin'
Nawaza ningekua na hiyo mimali
Nikakulipia mali nikawa nawe mwali
Nadhani mambo mengi kwangu yange kua swari
Nashindwa na mali mi sina wee
Ningekuoa malaika x 2

(Chorus)

Malaika nakupenda malaika
Malaika nakupenda malaika x 2

(Verse 3)

Pesa pesa zasumbua roho yangu
Mi nasema pesa pesa
Zasumbua roho yangu
Uzuri wako malaika
Unanifanya nipagawe malaika
Kila napokuona malaika
Nabaka nahangaika malaika wewe
Ohoo Owuooh

Malaika Eeh nakupenda malaika
Malaika Ooh nakupenda malaika wewe
Malaika Heya nakupenda nakupenda wewe
Malaika nakupenda malaika

Nakupenda wewe
Nakupenda wewe
Nakupenda wewe til fade







Captcha
Widget
The Mad Ice Malaika are brought to you by Lyrics-Keeper. You can use lyrics widget for karaoke. We tried to make lyrics as correct as possible, however if you have any corrections for Malaika lyrics, please feel free to submit them to us. If you want to download this song in mp3 you can visit one of our music sponsors.